Jumatano, 14 Septemba 2016

Mwenyekiti wa muda bw.#Alfred Tembo akiweka saini yake kwenye katiba ya Ubalozi wa Vijana Kigamboni kama kuthibitisha kuikubaliana nayo... Mambo moto karibuni wadau tujumuike kwa pamoja kuleta fursa kwa vijana ili kuwa komboa kifikra na kiuchumi..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni