
Ubalozi wa Vijana Kigamboni tunamshukuru mungu kwa kuweza kutusimamia mpaka tukafanikiwa kulitimiza hili.. Safari inaanza huyu tukiomba mungu atunyooshee mikono yake tukufanyia wepesi kwa mambo mazuri yote yatakayo leta maendeleo kwa vijana wa Kigamboni na jamii inayomzunguka kwa ujumla.. MUNGU ibariki Tanzania, MUNGUibariki UVIKI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni